BUKOBA SPORTS

Monday, April 6, 2015

FULL TIME: KAGERA SUGAR 1 vs 2 SIMBA SC, IBRAHIM AJIBU AIPA USHINDI SIMBA LEO CCM KAMBARAGE!

Ramadhani Singano 'Messi' alianza kuifungia bao la mapema Simba SC kipindi cha kwanza.
Rashid Mandawa anaisawazishia bao Kagera Sugar kipindi cha pili dakika ya 59 na kufanya 1-1 bao la 10 kwa Mchezaji Rashid Mandawa kwa msimu huu.
Mchezaji Mshambuliaji Chipukizi wa Simba Ibrahim Ajibu anaipatia bao la pili Simba SC kwa mkwaju wa Penati na kufanya 2-1 dhidi ya Kagera Suger.







Kocha msaidizi wa Kagaera Sugar akihojiwa na waandishi wa Habari



No comments:

Post a Comment