BUKOBA SPORTS

Saturday, April 4, 2015

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 3 vs 1 ASTON VILLA, ANDER HERRERA AFANYA KWELI LEO AFUNGA BAO MBILI NA ROONEY NAE AKIFUNGA BAO LA KIWANGO!

Wakipongezana...Wayne Rooney aliifungia bao Man United dakika ya 79 kwa kufanya 2-0 akipata pasi kutoka kwa Angel Di Maria nao Aston Villa walipata kona na kupata bao kwa kufanya 2-1 katika dakika ya 80 kupitia kwa Christian Benteke.Ander Herrera kafunga bao mbili peke yake leoAnder Herrera Dakika ya 43 Aliipa bao na hapa akipongezwa na Carrick pamoja na Fellaini.Ander Herrera Dakika ya 43 mwishoni mwa kipindi cha kwanza kaifungia bao Man United na Mtanange kwenda mapumziko ya bao 1-0 dhidi ya Aston Villa.Rooney akiendesha!Mpaka mapumziko Mitanange mingine ilivyokuwa..
RATIBA/MATOKEO
Jumamosi Aprili 4
 

Arsenal 4 vs 1 Liverpool FT
Everton 1 vs 0 Southampton 
Leicester 2 vs 1 West Ham
Man United 3 vs 1 Aston Villa 
Swansea 3 vs 1 Hull 
West Brom 1 vs 4 QPR

No comments:

Post a Comment