BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 7, 2015

YAMOTO BAND WAFUNIKA PASAKA BUKOBA, MAMIA WAWASHUHUDIA "LIVE" KWENYE UKUMBI WA LINA'S NIGHT CLUB

Na Faustine Ruta, Bukoba
KUNDI la muziki wa kizazi kipya nchini, YAMOTO BAND lenye maskani yake Temeke Jijini Dar es Salaam,Usiku wa kuamkia leo limetoa Burudani ya nguvu kwa Wakaazi wa Mji wa Bukoba ikiwa ni kuhitimisha sikukuu za Pasaka katika Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night Club. Katika kumalizika Sikukuu katika Kanda ya Ziwa leo Yamoto Band watakuwa Biharamulo kuwasha moto ambapo leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume.
Slay akifanya yake kwa mashabiki
Afisa Utamaduni(kushoto) Mzee Rugeiyamu nae alikuwepo kujionea Vijana hao wanaotamba kwa sasa Nchini.
Taswira kamili Mashabiki wakiwa tulivu
Shabiki akinogewa na Yamoto Band
Fundi akishangaza mashabiki

Shangwe kwa mashabiki
Shabiki akifanya yake jukwaani kwaonesha kuwa na yeye anayaweza mapigo hayo!

Hehee!


Nyomi ya kufa mtu waliofikakatika Shoo hiyo.
Yamoto Band wakifanya makamuzi yao mbele ya Mashabiki wao katika Ukumbi wa Lina's

Mratibu wa Shoo hiyo Bw. Jonathan Mwanga, akijulikana zaidi kwa jina maarufu Jerry a.k.a MC akiwa kwenye Shoo hiyo iliyoshuhudiwa na Watu wengi kwenye Ukumbi wa Lina's usiku wa kuamkia leo.

Mashabiki wakiburudika kwa nyimbo mbaimbali kutoka kwa Yamoto Band

No comments:

Post a Comment