BUKOBA SPORTS

Monday, May 4, 2015

GODFREY WAMBURA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU VODACOM KW MWEZI WA PILI.

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom ,Fatuma Abdallah akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu, kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF,Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union,Salim Bawaziri jana,Picha kwa hisani ya Coastal Union.

No comments:

Post a Comment