BUKOBA SPORTS

Friday, May 1, 2015

MRATIBU WA KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA BW. ANDREW KAGYA AKIWA UGHAIBUNI NCHINI AUSTRALIA MJINI INNSBRUCK


Bw. Andrew Kagya akiwa na Kwaya rafiki wakati wanafanya maandalizi ya onesho lao kuadhimisha miaka 25 ya kwaya yao, tukio ambalo litafanyika kesho, J.mosi, tar. 2.5.15.
Bw. Andrew Kagya akiwa huko Australia kesho jumamosi tarehe 2 atahudhulia Tamasha la Kwaya Rafiki na Kapotive Star Singers likiwa ni Tamasha Maalum la kuadhimisha miaka 25 ya kwaya hiyo ambayo pia ilishawatembelea hapa Nchini Mwaka jana , tukio ambalo litafanyika kesho Jumamosi, tar. 02.05.2015.Akiwa katika Uwanja wa kuchezea michezo ya kuteleza "Skiing" Innsbruck. Mratibu Kundi la Kapotive Star Singars - Bukoba, Bw. Andrew Kagya akiwa Ughaibuni Mjini Innsbruck- Austria leo hii.

No comments:

Post a Comment