ADIDAS wameungana tena na Klabu ya Manchester United na Jana kuzionyesha hadharani kwa mara ya kwanza Jezi mpya kwa ajili ya Msimu mpya wa 2015/16.
Wakiwa na Mashabiki zaidi ya Milioni 659 Dunia nzima, Man United ni moja ya Klabu mashuhuri Ulimwenguni kote.
Wakiiga Jezi zao za Miaka ya 1980, Man United na Adidas wametoa Jezi za Mechi za Nyumbani zenye Kola ya V na Mistari Mitatu Begani.
Ashley Young akiwa ndani ya jezi mpya ya Man United
Jezi mpya zikizinduliwa rasmiMECHI ZA MAN UNITED:
LIGI KUU ENGLAND
Agosti 8 [Saa 14:45] Tottenham Hotspur [Old Trafford]
Agosti 14 [Saa 21:45]Aston Villa [Villa Park]
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Agosti 18/19 [Saa 2145]: UEFA Champions Ligi-Mechi ya Kwanza Raundi ya Mchujo
LIGI KUU ENGLAND
Agosti 22 [Saa 1445]: Newcastle United [Old Trafford]
UCL
Agosti 25/26 [Saa 2145]: UEFA Champions Ligi-Mechi ya Marudiano Raundi ya Mchujo
LIGI KUU ENGLAND
Agosti 30 [Saa 1800]: Swansea City [Liberty Stadium]

No comments:
Post a Comment