LIVERPOOL WABANWA TENA MBAVU NA WIGAN.
Dalglish alilaumu matokeo hayo mabaya na ya mfululizo wa mechi mbili kufungwa pia
Dalgrish alisema kama tukicheza jumapili-jumatano-jumamosi lazima tutafanya vibaya kwa kuwa tutakuwa tumechoka, kiongozi huyo alikemea hilo baada ya kupigwa na timu iliyokuwa mkiani na hatimaye kuinyanyua pointi na kuitoa mkiani.
No comments:
Post a Comment