MSIMAMO Timu za juu:
1 Simba Mechi 23 Pointi 53
2 Azam Mechi 23 Pointi 50
3 Yanga Mechi 22 Pointi 43
4 Mtibwa Mechi 22 Pointi 35
TAARIFA:
Ligi Kuu Vodacom inatarajiwa kumalizika hapo Mei 5 na Simba wapo kileleni wakiwa wamebakiza Mechi 3 na wana Pointi 53 wakifuatiwa na Azam FC ambao pia wamebakiza Mechi 3 na wana Pointi 50.
Yanga, wanaongoja kwa hamu kujua kama Pointi 3 walizopokwa kwa kumchezesha Mchezaji aliefungiwa kwenye Mechi na Coastal Union wakati Kamati ya Nidhamu itakapoamua Rufaa yao, wapo nafasi ya 3 na wana Pointi 43 huku wakiwa wamebakiza Mechi 4.
Uamuzi wa Rufaa ya Yanga unategemewa kutangazwa wakati wowote leo baada Kamati ya Nidhamu kumaliza kikao chao chini ya Mwenyekiti wao Alfred Tibaigana hivi leo.
MECHI ZILIZOBAKI:
SIMBA [Zote Nyumbani]
-JKT Ruvu
-Moro United
-Yanga
AZAM [Zote Nyumbani]
-Mtibwa Sugar
-Toto African
-Kagera Sugar
YANGA
-Kagera Sugar [ugenini]
-JKT Oljoro ]ugenini]
-Polisi Dodoma [nyumbani]
-Simba
====================
RATIBA:
Jumatano Aprili 18
Kagera Sugar vs Yanga
Toto Africans vs African Lyon
JKT Ruvu vs Simba
Ruvu Shooting vs Moro United
Polisi Dodoma vs Coastal Union
MSIMAMO:
No comments:
Post a Comment