BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 11, 2012

SHOW YA MSANII LINAH ILIVYOPAGAWISHA WADAU WASHINGTON DC

Linah akiwa na Wadau Washington DC nchini Marekani Muda mfupi kabla ya kuwasha moto kwenye show yake
Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC
 
Mdau akichukua taswira ya mwimbaji Linah alipokua akiwasha moto kwenye show yake Washington DC nchini marekani
Wadau mbalimbali wakicheza kwa furaha songi mbalimbali zilizokua zikiporomoshwa na msanii Linah kutoka Tanzania kwenye show yake iliyofana sana Washington DC nchini Marekani
Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC..
 
Linah akikonga nyoyoo za mashabiki wake kwenye show yake ya kukata na shoka Washington Dc
Linah(kulia)akiwa na wadau
Warembo mbalimbali waliojitokeza kwenye show ya linah Washington DC nchini Marekani


Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya,Estalina Sanga 'Linah' amepagawisha wadau mbalimbali Washington DC nchini Marekani mabapo tarehe 21 Mwezi Huu anatarajia kupagawisha wadau wa Miji ya COLUMBUS OHIO

No comments:

Post a Comment