Washindi Atletico Madrid waitandika Bilbao 3-0
Falcao akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza katika dk ya saba ya mchezo
Kwenye Fainali ya UEFA EUROPA LIGI iliyozikutanisha Timu mbili za Spain ndani ya National Arena huko Bucharest, Romania, Atletico Madrid wameichapa Athletic Bilbao na kutwaa Kombe.
Gorka Iraizoz akiangalia mpira nyavuni uliotupiwa na Falcao goli la pili
Straika hatari, Falcao, alipiga bao mbili na kutwaa Tuzo ya Ufungaji Bora kwenye Kombe hili kwa Misimu miwili mfululizo baada ya Mwaka jana kutwaa akiwa na FC Porto kwa kupiga bao 17 na Msimu huu amepiga 12.
Bao la 3 la Atletico lilifungwa na Diego.
Diegonae alimalizia goli la 3 katika mechi hiyo iliyochezwa usiki jana
VIKOSI VILIVYOCHEZA:
Atletico Madrid: Courtois; Juanfran, Godin, Miranda, Filipe Luis; Mario Suarez, Gabi; Diego, Adrian, Turan; Falcao
Akiba: Sergio Asenjo, Antonio Lopez, Salvio, Paulo Assuncao, Koke, Dominguez, Martin.
Athletic Bilbao: Iraizoz; Iraola, Javi Martinez, Amorebieta,
Aurtenetxe; De Marcos, Iturraspe; Muniain, Ander Herrera, Susaeta,
Llorente
Akiba: Raul, Toquero, San Jose, Gabilondo, Inigo Perez, Ekiza, Ibai.
Refa: Wolfgang Stark (Germany)
Goals: Falcao 7, 34, Diego 85.
Booked: Ander Herrera, Amorebieta, Inigo Perez, Susaeta.
Goals: Falcao 7, 34, Diego 85.
Booked: Ander Herrera, Amorebieta, Inigo Perez, Susaeta.
Att: 52,347
No comments:
Post a Comment