Saturday, May 19, 2012

FAINALI UEFA CHAMPIONS LIGI: MATCH PREVIEW BAYERN MUNICH V CHELSEA MECHI KALI USIKU SAA 3:45!!!

The arena of dreams: Sportsmail's Laura Williamson at the Allianz ArenaBayern Munich watawakosa wachezaji wake watatu wanaotumikia adhabu ya kadi, Holger Badstuber, David Alaba na Luiz Gustavo katika fainali la leo la Ligi ya Mabingwa dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich.Home favourites: Bayern Munich hope to win the Champions League on their own ground
Beki Breno anasumbuliwa na maumivu ya goti na atakuwa nje, Daniel Van Buyten hayuko fiti kwa mechi, hivyo Anatoliy Tymoshchuk na Diego Contento watabeba majukumu ya Badstuber na Alaba.
Thomas Muller anaweza kurejea kwenye kikosi cha kwanza, na Toni Kroos atashuka kwenye kiungo cha ndani sambamba na Bastian Schweinsteiger.

Any questions? Sportsmail's Laura Williamson sits in the press conference room
Chelsea watakuwa nao tena mabeki David Luiz na Gary Cahill, baada ya wawili kupona maumivu ya nyama za paja.

Habari hizo ni njema kwa kocha wa Muda, Roberto Di Matteo, wakati ambao mabeki wake wa kawaida John Terry na Branislav Ivanovic wanatumikia adhabu ya kazi sambamba na Ramires na Raul Meireles.
Pep talk: Roberto Di Matteo (right) chats with Frank Lampard during Chelsea's training session
Winga Florent Malouda anayesumbuliwa na maumivu ya nyama za paja yuko shakani kucheza, wakati Didier Drogba anaweza kuanza na Fernando Torres mbele ya mdomo wa goli la wapinzani.
 Leading the line: Didier Drobga looks set to start ahead of fellow striker Fernando Torres
Bayern Munich imeshinda mechi zake 13 zilizopita kati ya 14 kwenye Uwanja wa Allianz Arena kwenye mashindano yote, nyingine wakitoa sare. 
Flying the flag: Chelsea fans leave their mark on a bar table in central Munich on Friday night
Kama The Bavarians watatwaa Kombe leo, wataungana na Liverpool kutwaa taji hilo mara tano, na kuingia kwenye orodha ya klabu zilizo nafasi ya tatu kwa mafanikio kwenye michuano hiyo, nyuma ya Real Madrid waliotwaa mara tisa na AC Milan mara saba.
Klabu hiyo ya Bundesliga ni ya kwanza kunufaika na Uwanja wa nyumbani kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, tangu Roma wacheze na Liverpool kwenye Uwanja wao wa Olimpico mwaka 1984. 

Familiar feel: Philipp Lahm (left) and Arjen Robben (right) at Bayern's Saebener Street training ground on Friday
Ushindi kwa Bayern utamfanya Jupp Heynckes kuwa kocha wa nne kushinda taji hilo na klabu mbili tofauti baada ya Ernst Happel, Ottmar Hitzfeld na Jose Mourinho. 
Deadly duo: Arjen Robben (left) and Franck Ribery will be Bayern's dangermen
Chelsea imeshinda mechi moja tu ya ugenini katika michuano hiyo msimu huu na tayari imefungwa na timu ya Ujerumani mabao 2-1, rejea kipigo cha Bayer Leverkusen katika hatua ya makundi.
Mechi ya mwisho kuikutanisha The Blues na Bayern ilikuwa katika Robo Fainali ya michuano hiyo mwaka 2005, na watoto wa London wakashinda kwa matokeo ya jumla 6-5. 

Final preparations: Chelsea players train in Munich on Friday
Timu hiyo ya Ligi Kuu rekodi yake ya jumla dhidi ya timu za Ujerumani ni kushinda mechi 1, sare moja na kufungwa 4, huku ushindi wao pekee wakiupata dhidi ya Stuttgart msimu wa 2003-04 katika Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 Bora. 
Welcome: Juan Mata and Fernando Torres step off the team bus at the hotel
Fainali pekee ya michuano ya Ulaya kwa Chelsea ilikuwa mwaka 2008 mjini Moscow, ambako walifungwa na Manchester United kwa penalti baada ya sare ya 1-1. 
Home heroes: Bastian Schweinsteiger (centre) leads Mario Gomez (right) and Jerome Boateng in training
 Who are you kidding? Bayern's Allianz Arena home is being rebranded the Munich Fussball Arena for the night
The final two: Sportsmail's Laura stands at the entrance to the stadium
The final two: Sportsmail's Laura stands at the entrance to the stadium
Imposing: Poster-size photos of Chelsea's stars line the corridors
Imposing: Poster-size photos of Chelsea's stars line the corridors
Final moments: Both sets of players will line up in the tunnel before kick off
Final moments: Both sets of players will line up in the tunnel before kick off
Home sweet home: Bayern Munich heroes look down from the walls of the Allianz Arena
Home sweet home: Bayern Munich heroes look down from the walls of the Allianz Arena
Champion seating: Even the dugouts at Bayern Munich's ground are sumptuously upholstered
Champion seating: Even the dugouts at Bayern Munich's ground are sumptuously upholstered
Prime viewing: The studio where the pundits and presenters will be watching the big match
Prime viewing: The studio where the pundits and presenters will be watching the big match
Look, Fergie - they've even got hairdryers! Sir Alex Ferguson would have been pleased. If Manchester United had reached the final, the boss could have dished out his notorious hairdryer treatment.
Look, Fergie - they've even got hairdryers! Sir Alex Ferguson would have been pleased. If Manchester United had reached the final, the boss could have dished out his notorious hairdryer treatment.
The Germans really do think of everything: You can even dry your hair and exercise at the same time
The Germans really do think of everything: You can even dry your hair and exercise at the same time
Bath time: Which team will be celebrating with the Cup in the bath after the game
Bath time: Which team will be celebrating with the Cup in the bath after the game
Time for treatment: The Allianz Arena has plenty of room for the physios to work their magic
Time for treatment: The Allianz Arena has plenty of room for the physios to work their magic
Final preparations all done: The big one is almost here
Final preparations all done: The big one is almost here
Ready to go: The pitch is ready for the biggest game in club football
Ready to go: The pitch is ready for the biggest game in club football
It's a belter of a stadium: But just wait until to see it on Saturday night
It's a belter of a stadium: But just wait until to see it on Saturday night
Fan friendly: The stands are ready to welcome the Chelsea and Bayern Munich fans
Fan friendly: The stands are ready to welcome the Chelsea and Bayern Munich fans

No comments:

Post a Comment