BUKOBA SPORTS

Monday, July 9, 2012

JAN VETONGHEN AJIUNGA NA TOTTENHAM HOTSPURS

Jan Vertonghen
Beki huyo wa Ubelgiji atasafiri kuelekea jijini London kwa ajili ya kufanya vipimo na kukamilisha usajili wake wa kuwa mchezaji wa Tottenham.
Spurs wanatarajiwa kutoa karibia paundi mill 9.
Vortonghen alisema, “Nina miaka 25 na najihisi nko tayari kucheza katika ligi ya Uingereza.
Nimehadithiwa mengi sana kuhusiana na ligi hii kupitia kwa wachezaji wenzangu wa Ubelgiji.
Beki huyo wa Ubelgiji atasafiri kuelekea jijini London kwa ajili ya kufanya vipimo na kukamilisha usajili wake wa kuwa mchezaji wa Tottenham.
Spurs wanawachezaji wazuri sana na natarajia wachezaji wote muhimu watabakia”.

No comments:

Post a Comment