Shindano hili litalofanyika Jumamosi hii ya tarehe 7 / 07 / 2012 katika Ukumbi wa LINA'S NIGHT CLUB ulipo mjini Bukoba kuanzia saa mbili usiku..
warembo wa Miss Redd's Kagera wanaotarajiwa kuchuana jumapili hii
Jumla ya warembo kumi na mbili (12) wamejitokeza kuwania taji hili wakiwa chini ya mwalimu wao JAMILA
Shindano hili limedhaminiwa na:-REDD'S, KASIBANTE RADIO,NYANZA BOTTLING, VICTORIA INSTITUTE, THE WOLK GUARD HOTEL, JAMCO BARBESHOP & VIDEO PRODUCTION, CLARA SALOON, EVOD BOUTIQUE
No comments:
Post a Comment