

Sherehe za ufungaji mashindano makubwa duniani zafanyika kwa amani na michezo ilikuwa ya amani,hakuna mauaji wala hila zozote za ughaidi.Hata bendera yetu ilikuwepo hapo.
MUZIKI KAMA KAWAIDA YA WAINGEREZA.
Vijana wanasauti nzuri One Direction.
Huyu naye alitembea juu ya paa la uwanja wa olimpiki na kufanya maajabu juu.
Mwanamuziki Sande mzaliwa wa Scotland baba yake ni Mzambia mama mscotish.Alitumbuiza.
No comments:
Post a Comment