Bao la kwanza la Real lilifungwa katika Dakika ya 10 na Gonzalo Higuain na la pili na Cristiano Ronaldo katika Dakika ya 19.
Adriano Correira wa Barca alipewa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 28 baada kumwangusha Ronaldo aliyekuwa anaenda golini kufunga.
Lionel Messi aliipatia bao Barca kwa frikiki ya Dakika ya 45.
Wachezaji wapya, Luka Modric kwa Real na Alex Song kwa Barca, waliingizwa kucheza Mechi zao za kwanza kwa Klabu zao mpya.
VIKOSI:
Real Madrid: Casillas; Arbeloa, Pepe, Ramos, Marcelo; Alonso, Khedira; Di María, Özil, Cristiano; Higuaín
Akiba: Adán, Benzema, Albiol, Modric, Callejón, Diarra, Nacho
Barcelona: Valdés, Alba, Adriano, Mascherano, Piqué; Busquets, Xavi, Iniesta; Alexis, Messi y Pedro
Akiba: Fábregas, Villa, Pinto, Bartra, Alex Song, Tello, Montoya
No comments:
Post a Comment