BUKOBA SPORTS

Tuesday, August 14, 2012

STARS YAENDA GABORONE BOTSWANA LEO


Wachezaji wa timu ya Taifa, 'Taifa Satar' wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tayari kwa safari kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano nchini humo.
Mrisho Ngassa (kulia)
Juma Kaseja na wenzake

No comments:

Post a Comment