BUKOBA SPORTS

Friday, August 10, 2012

TIMU YA AZAM YAFUNGWA GOLI 2 BILA NA MTIBWA SUGER


Timu ya POLISI MOROGORO imeibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya SUPERFALCON ya ZANZIBAR katika mchezo uliofanyika mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba.
Nayo timu ya AZAM imekubali kipigo cha magoli mawili kwa bila dhidi ya MTIBWA SUNGER ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja toka kuanza kwa mashindano hayo.
Huku KILIMANJARO wekundu wa msimbazi wameibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi ya MTENDE ya ZANZIBAR katika mchezo uliofanyika uwanja wa ushirika mkoani KILIMANJARO.

No comments:

Post a Comment