Viongozi wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe (wa nne kutoka kushoto), wakishiriki chakula kilichoandaliwa na wenyeji wao mjini Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Idd el Fitr, baada ya kusitizsha kampeni za Operesheni Sangara katika mkoa wa Morogoro jana, ili kuungana na waislamu kote nchini kusherehekea sikukuu hiyo. Kutoka kushiti ni mwanachma wa chama hicho, Arcado Ntagazwa, Katibu Mkuu, Willibrod Slaa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed. (Picha na JosephSenga).
Wednesday, August 22, 2012
VIONGOZI WA CHADEMA WASHIRIKI SIKUKUU YA IDD NA WAKAZI WA MOROGORO
Viongozi wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe (wa nne kutoka kushoto), wakishiriki chakula kilichoandaliwa na wenyeji wao mjini Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Idd el Fitr, baada ya kusitizsha kampeni za Operesheni Sangara katika mkoa wa Morogoro jana, ili kuungana na waislamu kote nchini kusherehekea sikukuu hiyo. Kutoka kushiti ni mwanachma wa chama hicho, Arcado Ntagazwa, Katibu Mkuu, Willibrod Slaa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed. (Picha na JosephSenga).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment