BUKOBA SPORTS

Saturday, October 6, 2012

ENGLISH PREMIER LEAGUE: MAN CITY 3 SUNDERLAND 0

Wakiwa kwao uwanja wa Etihad leo Timu ya Manchester City imefanikiwa kuifunga timu ya Sunderland na kujikuta wanapata pointi 15 nyuma ya timu ya Chelsea yenye pointi 16.
Mabao ya Aleksandar Kolarov, Sergio Aguero na James Milner yameipa Manchester City ushindi wa 3-0 katika Ligi Kuu ya England joni hii dhidi ya Sunderland. Ushindi huo, umeifanya Man City itimize pointi 15 baada ya kucheza mechi saba na inashika nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea inayoongoza kwa pointi zake 16, ambayo hivi sasa inacheza mechi ya saba nayo dhidi ya Norwich. Na mpaka sasa chelsea inaongoza goli 2 dhidi ya Norwich ikiwa na goli 1 na ni dk ya 24 mpaka sasa, chelsea wakishinda watakuwa na pointi 19.


Kolarov akipongezwa kufunga bao la kwanza Uwanja wa Etihad

Mserbia huyo anafunga bao la kuongoza kwa mpira wa adhabu

Aguero anagunga la pili 2-0 kipindi cha pili

Lilikuwa shuti la pili la Aguero tangu aingie na anafunga

Mabingwa hao watetezi sasa wapo jirani na Chelsea kileleni mwa Ligi Kuu

Balotelli akiumaliza Uwanja baada ya kutolewa
 VIKOSI:
Sunderland: Gordon, Bardsley, Nosworthy, Collins, Chimbonda, Malbranque, Leadbitter (Murphy 60), Reid, Richardson, Cisse (Stokes 60), Diouf (Healy 60).
Subs Not Used: Ward, Miller, Yorke, Higginbotham.
Booked: Bardsley, Healy, Richardson, Chimbonda.
Man City: Hart, Corluka, Richards (Ben-Haim 46), Dunne, Michael Ball, Ireland, Hamann, Johnson (Gelson 81), Kompany, Wright-Phillips (Elano 85), Jo.
Subs Not Used: Schmeichel, Garrido, Evans, Sturridge.
Booked: Richards, Kompany.
Goals: Ireland 45, Wright-Phillips 50, 58.
Att: 39,622
Ref: Chris Foy (Merseyside).

No comments:

Post a Comment