BUKOBA SPORTS

Wednesday, October 3, 2012

KIBAKA ACHEZEA KICHAPO HADI KUFA BAADA YA KUTAKA KUFANYA WIZI ENEO LA AJALI MBEYA.

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni huo ndio msemo pekee ambao naweza kuutumia katika kukujuza yaliyotokea mapema leo mchana katika ajali mbaya ya Mbalizi Mbeya Vijijini.

Wakati wengine wakiendelea kuokoa majeruhi wengine wamejikuta wakifanya tofauti na vile ilivyotegemewa pale kijana mmoja alipojitoa mhanga na kuingia katika mmojawapo wa waokoaji na kutaka kumchomolea fedha “ waswahili huita mshiko”.


Asalale kijana huyo ambaye hajafahamika jina mpaka mauti yanamkuta katika tukio hilo alikwidwa na mashuhuda wa ajali hiyo na kupewa kichapo cha mbwa mwizi wa kuku. Hebu nisiendee mbali sana kodoa jicho hapa


Wananchi wenye hasira kali wakimshushia kichapo kibaka aliyetaka kujaribu kuchomoa pesa katika harakati za uokoaji.

Kipigo kikiendelea kwa kijana ambaye alijaribu kufanya wizi katika eneo hilo.

Dahaaaaaaaaa jamaa sijui alikuwa ndo kamaliza kurusha jiwee,aiseeee hatari kwelikweli.

Jamaa akimgeuza kibaka ili kujua kama ameshakata roho aua laa.watu wana hasira aiseeee

Daaah aiseeeeeeee hi ni hatari sana.

Kwishineeeeeeeeeeeeee,Jamaaa wamemaliza kazi

No comments:

Post a Comment