Katika usiku huo ambao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo walifunga magoli mawili kila mmoja wakati Barcelona ilipocheza na Real Madrid, haikufahamika mara moja lengo la Mancini kuhudhuria mechi hiyo.
FALCAO, ambaye yupo katika kiwango cha juu hivi sasa, anawindwa na klabu nyingi za ulaya na huenda akahiama Atletico Madrid majira ya Baridi.
No comments:
Post a Comment