Gazeti la "Dailymail" limeeleza kuwa Young ameanza kujifua muda wote na wachezaji wa kikosi cha kwanza cha United ambao hawapo kwenye majukumu ya ya timu zao za taifa.
Kocha wa Manchester united, Sir Alex Ferguson anatumaini kwamba Young atakuwepo dimbani kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya STOKE CITY, Octoba 20, mwaka huu 2012.
No comments:
Post a Comment