
Maandalizi ya kwenda kugaguliwa kabla ya mechi,Waingereza washinda 5-0

Rooney kapteni akifunga goli kwa penalti.

Theo aliumia kwa kugongana na goli kipa na sasa yupo Hospitali kwa matibabu.

Alex Camblaine miaka 19 akishangilia goli kwa kushukuru Mungu.




No comments:
Post a Comment