
Dj Y akifanya interview na wasanii wa Bongo Movie

Rose Ndauka baada ya kuongea na "wananchi wa Kagera live" apa anaonekana na furaha kubwa.

Whooooo....... kulia ni Wolper akiyarudi mavituuz ya Kasibante fm

Che... Che ....kk... kk...

Kwa makini NIKITA akisikiliza simu iliyopigwa muda huo

(kulia)
mdau wa bukobasports.com akiongea na Wolper (kushoto) hii ni baada ya
kujiona live kwenye mtandao wa www.bukobasports.com papo kwa papo baada
ya muda mfupi.
No comments:
Post a Comment