Baada ya Mechi ya Kundi H la Bara la Ulaya kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 huko Brazil kutochezwa jana kufuatia Mvua kubwa na uzembe wa kutofunika Paa la Uwanja wa Taifa huko Warsaw, leo Mechi hiyo imepigwa huku Paa likiwa limefungwa na matokeo kuwa Poland 1 England 1.
KUNDI H
1 England Mechi 4 Pointi 8
2 Montenegro Mechi 3 Pointi 7
3 Poland Mechi 3 Pointi 5
4 Moldova Mechi 4 Pointi 4
5 Ukraine Mechi 3 Pointi 2
6 San Marino Mechi 3 Pointi 0
England ndiyo waliotangulia kupata bao
kufuatia kona ya Steven Gerrard kuunganishwa kwa kichwa na Wayne Rooney
katika Dakika ya 31 lakini Poland wakasawazisha katika Dakika ya 70
kwa
bao la Kamil Glik kufuatia uzembe wa Kipa Joe Hart kukosa kupangua kona.
MECHI ZIJAZO ZA ENGLAND:
KIRAFIKI
-Novemba 11: Sweden v England [Ugenini]
-Februari 6: England v Brazil [Wembley, London]
KOMBE LA DUNIA KUNDI H:
-Machi 22, 2013: San Marino v England [Ugenini]
-Machi 26, 2013: Montenegro v England [Ugenini]
Wakati huo huo, Kikosi cha Wachezaji wa
England waliokuwepo huko Poland kimetangaza kuwa kitawafidia Mashabiki
2,500 wa England waliosafiri kwenda Poland kushuhudia pambano la jana
lililoahirishwa kwa kuchangia Pauni 50,000 na pia kuwaalika wote hao
kuhudhuria bure Mazoezi ya Timu hiyo huko England kabla Msimu huu
kumalizika.
Mashabiki wa Poland
Wayne Rooneyakionekana hana furaha hapa baada ya kupata droo timu yake ya England
England meneja Roy Hodgson akiangalia mtanange na huku akiwa aamini kinachoendelea
Shida: Star wa Poland Robert Lewandowski akikimbizwa na Steven Gerrard
VIKOSI:
Poland: Tyton, Piszczek, Wasilewski, Wawrzyniak, Glik, Polanski, Krychowiak, Wszolek, Grosicki, Obraniak, Lewandowski
Akiba: Kuszczak, Wojtkowiak, Komorowski, Borysiuk, Murawski, Milik, Mierzejewski, Sobota, Piech, Perquis, Sobiech, Skorupski.
England: Hart, Glen Johnson, Jagielka, Lescott, Cole, Milner, Carrick, Gerrard, Cleverley, Rooney, Defoe
Akiba: Ruddy, Walker, Baines, Cahill, Shawcross, Oxlade-Chamberlain, Shelvey, Lennon, Adam Johnson, Carroll, Welbeck, Forster.
Refa: Gianluca Rocchi (Italy)
MSIMAMO:
KUNDI A
[Kila Timu imecheza Mechi 4]
1 Belgium Pointi 10
2 Croatia 10
3 Serbia 4
4 Macedonia 4
5 Wales 3
6 Scotland 2
______________________________________________
KUNDI B
1 Italy Mechi 4 Pointi 10
2 Bulgaria Mechi 4 Pointi 6
4 Czech Mechi 3 Pointi 5
3 Armenia Mechi 3 Pointi 3
5 Denmark Mechi 3 Pointi 2
6 Malta Mechi 3 Pointi 0
_______________________________________________
KUNDI C
1 Germany Mechi 4 Pointi 10
2 Sweden Mechi 3 Pointi 7
3 Ireland Mechi 3 Pointi 6
4 Austria Mechi 3 Pointi 4
5 Kazakhstan Mechi 4 Pointi 1
6 Faroe Island Mechi 3 Pointi 0
_________________________________________________
KUNDI D
[Kila Timu imecheza Mechi 4]
1 Netherlands Pointi 12
2 Hungary 9
3 Romania 9
4 Turkey 3
5 Estonia 3
6 Andorra 0
__________________________________________________
KUNDI E
[Kila Timu imecheza Mechi 4]
1 Switzerland Pointi 10
2 Norway 7
3 Albania 6
4 Iceland 6
5 Slovenia 3
6 Cyprus 3
_________________________________________________
KUNDI F
1 Russia Mechi 4 Pointi 12
2 Israel Mechi 4 Pointi 7
3 Portugal Mechi 4 Pointi 7
4 Northern Ireland Mechi 3 Pointi 2
5 Azerbaijan Mechi 3 Pointi 1
6 Luxembourg Mechi 4 Pointi 1
_________________________________________________
KUNDI G
[Timu zote zimecheza Mechi 4]
1 Bosnia & Herzagovina Pointi 10
2 Greece 10
3 Slovakia 7
4 Lithuania 4
5 Latvia 3
6 Liechtenstein 0
_______________________________________________
KUNDI H
1 England Mechi 4 Pointi 8
2 Montenegro Mechi 3 Pointi 7
3 Poland Mechi 3 Pointi 5
4 Moldova Mechi 4 Pointi 4
5 Ukraine Mechi 3 Pointi 2
6 San Marino Mechi 3 Pointi 0
________________________________________________
KUNDI I
1 Spain Mechi 3 Pointi 7 [Tofauti ya Magoli 5]
2 France Mechi 3 Pointi 7 [Tofauti ya Magoli 5]
3 Georgia Mechi 4 Pointi 4
5 Belarus Mechi 4 Pointi 3
4 Finland Mechi 2 Pointi 1
_________________________________________________
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumatano Novemba 14
Northern Ireland v Azerbaijan
Montenegro v San Marino
Ijumaa Machi 22
Slovenia v Iceland
Israel v Portugal
Cyprus v Switzerland
Norway v Albania
Luxembourg v Azerbaijan
Bosnia And Herzegovina v Greece
Netherlands v Estonia
Austria v Faroe Island
Czech Republic v Denmark
Moldova v Montenegro
Poland v Ukraine
Sweden v Ireland
Hungary v Romania
San Marino v England
Scotland v Wales
Spain v Finland
Northern Ireland v Russia
Macedonia v Belgium
Liechtenstein v Latvia
Slovakia v Lithuania
Bulgaria v Malta
Croatia v Serbia
Andorra v Turkey
Kazakstan v Germany
No comments:
Post a Comment