BUKOBA SPORTS

Friday, February 1, 2013

AFCON 2013 - KESHO JUMAMOSI, HAPATOSHI ROBO FAINALI: GHANA v CAPE VERDE & BAFANA v MALI!!

ROBO FAINALI ya Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, itaanza kuchezwa Kesho Jumamosi Februari 2 Uwanja wa Nelson Mandela Bay, Jijini Port Elizabeth, Afrika Kusini kwa Mechi kati ya moja wa Vigogo wa Afrika Ghana dhidi ya  Cape Verde, na kufuatiwa na Wenyeji Afrika Kusini dhidi ya Mali Uwanja wa Moses Mabhida Mjini Durban.

Shabiki likiwa limetupia mwanzo mwisho hapa lazima goli lipatikane...


ROBO FAINALI
Jumamosi Februari 2
[SAA 12 Jioni Nelson Mandela Bay Stadium, Port Elizabeth]
Ghana v Cape Verde
[SAA 3.30 Moses Mabhida Stadium, Durban]
Afrika Kusini v Mali
Jumapili Februari 3
[SAA 12 Jioni Royal Bafokeng Stadium, Rustenburg]
Ivory Coast v Nigeria
[SAA 3.30 Mbombela Stadium, Nelspruit]
Burkina Faso v Togo
KIKOSI CHA Ivory Coast



RATIBA:NUSU FAINALI
Jumatano Februari 6
Ghana/Cape Verde v Burkina Faso/Togo [Mbombela Stadium Saa 12 Jioni]
Afrika Kusini/Mali v Ivory Coast/Nigeria [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]

MSHINDI WA TATU
Jumamosi Februari 9
[Nelson Mandela Bay Stadium Saa 3 Usiku]

FAINALI
Jumapili Februari 10
[Soccer City, Johannesburg Saa 3 Usiku] 

AFCON 2013 AFRIKA KUSINI
VIWANJA:
-Soccer City, Johannesburg [Mashabiki 94,700]
-Moses Mabhida Stadium, Durban [Mashabiki 54,000]
-Nelson Mandela Bay Stadium, Port Elizabeth [Mashabiki 48,000]
-Mbombela Stadium, Nelspruit [Mashabiki 41,000]
-Royal Bafokeng Stadium, Rustenburg [Mashabiki 42,000]

No comments:

Post a Comment