LEO, Tottenham wakicheza ugenini Upton Park na West Ham katika Mechi iliyokuwa imesalia ya (BPL), Barclays Premier League, imeifunga timu ya West Ham goli 3-2 na kuweza kupanda hadi nafasi ya tatu kwa kuishusha Chelsea nafasi hiyo ambao jana walichapwa na timu ya Man City goli 2-0.Tottenham ndiyo ilikuwa ya kwanza kubata bao baada ya mchezaji wao matata Gareth Bale kuachia shuti la pembeni dakika ya 13 na kufanikiwa kupata ushindi hapo uwanjani Uptown Park. Muda mfupi baadaye mchezaji Andrew Carroll akakwatuliwa na Parkerna hatimaye mwamuzi Howard Webb kudai kuwa mpira utengwe penati, Andrew Carroll hakufanya makosa akaachia shuti kali la juu na mpira kuishilia nyavuni mwa Spurs na kufanya 1-1. Kipindi cha kwanza kimeisha kila timu ikiwa na bao moja.
Gareth Bale akiipatia Tottenham goli dakika ya 13
Scott Parker akimwekea kiatu Andy Carroll hatimaye kuanguka na refa Howard webb kutoa penati
Gareth Bale akiwa kwenye kashikashi za kutaka kufunga goli
kocha wa Spurs Andre Villas-Boas kwenye uwanja wa Upton Park akiwa amepagawa baada ya kufungwa goli la pili.
Gylfi Sigurdsson akishangilia baada ya kupata goli.
ushindi mtamu....

Gareth Bale akitupia kuipa ushindi Tottenham
Gareth Bale akitupia kuipa ushindi Tottenham
Gareth Baleakiwapatia pointi 3 muhimu sana Spurs
Gareth Bale akishangilia dakika za lala salama baada ya kufunga goli la ushindi na kuipandisha Spurs nafasi ya tatu.
West Ham: Jaaskelainen, Reid, O'Brien, Collins, Demel (Pogatetz 72), Nolan (Taylor 35), Jarvis, Diame, J Cole, O'Neil, Carroll
Subs not used: Spiegel, Collison, Taylor, C Cole, Vaz Te, Chamakh
Goals: Carroll 25 (pen), J Cole 58
Booked: Diame, J Cole, O'Neill, Collins
Tottenham: Lloris, Vertonghen, Dawson, Walker, Caulker, Lennon, Parker (Livermore 88), Bale, Holtby (Sigurdsson 56), Adebayor, Dembele (Carroll 75)
Subs not used: Friedel, Gallas, Naughton, Assou-Ekotto, Sigurdsson
Goal: Bale 13, 90 Sigurdsson 76
Booked: Dembele
Referee: Howard Webb
RATIBA: BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumamosi Machi 2
[Saa 12 Jioni]
Chelsea vs West Bromwich Albion
Everton vs Reading
Manchester United vs Norwich City
Southampton vs Queens Park Rangers
Stoke City vs West Ham United
Sunderland vs Fulham
Swansea City vs Newcastle United
[Saa 2 na Nusu Usiku]
Wigan Athletic vs Liverpool
Jumapili Machi 3
[Saa 1 Usiku]
Tottenham Hotspur vs Arsenal
Jumatatu Machi 4
[Saa 5 Usiku]
Aston Villa vs Manchester City
No comments:
Post a Comment