BUKOBA SPORTS

Monday, February 18, 2013

MAKUMBUSHO YA KAGERA YAPOKEA VITABU VYA HISTORIA TOKA UJERUMANI LEO.

Bw. Y.P Mchuruza akizungumza na waandishi wa Habari leo asubuhi wakati anakabidhi vitabu hivyo vilivyotoka Ujerumani (kulia ni Bw. Willy O.Rutta wa Kiroyera Tours)

Bw. Y.P Mchuruza akizungumzia ujio huo wa vitabu leo Asubuhi katika jumba la makumbusho.
Bw. Y.P Mchuruza akionyesha kitabu ambacho kimeletwa kikiwa kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili na kiingereza na kuwataka wananchi kuwa na historia ya kwenda kujisomea vitubu hivyo katika jumba hilo la makumbusho
Vitabu mbalimbali vikitolewa
Bw. Y.P Mchuruza akionyesha moja ya picha ya mzungu wa kijerumani ambaye alikuwa hapa Mjini Bukoba akishirikiana na wananchi wa hapa na kuendeleza urafiki kati ya Ujerumani na Tanzania kipindi cha nyuma na mpaka sasa.
Bw. Y.P Mchuruza akionyesha moja ya picha ambayo alipiga kipindi cha nyuma akiwa nchini Ujerumani na mzungu huyo.
Bw. Y.P Mchuruza akionyesha baadhi ya picha za sanamu ya baadhi ya mila na desturi za makabila ya hapa nchini Tanzania.
Bw. Y.P Mchuruza  akiwa kwenye picha nchi ujerumani, hapa inaonesha alikuwa bado kijana wa miaka 30
Bw. Willy O. Rutta na mama wakifurahia ujio huo wa vutabu


Bw. Willy O. Rutta  akielezea baadhi ya picha zilizopambwa ukutani katika jumba hilo la makumbusho

No comments:

Post a Comment