VODACOM PREMIER LEAGUE: KAGERA SUGAR 1 vs AFRICA LYON 1
Kocha wa Timu ya Kagera Sugar (kulia) akisalimiana na kocha wa Africa Lyon kabla ya mtanange. Bw. Ernest Nyambo Mgeni Rasmi katika mtanange huo Akisalimiana na waamuzi Bw. Ernest Nyambo Mgeni Rasmi katika mtanange huo Akisalimiana na wachezaji wa Africa Lyon Wachezaji wakisalimiana Waamuzi katika picha ya pamoja Kikosi cha timu ya Kagera Sugar kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpambano huo kuanza. Kikosi cha timu ya Africa Lyon kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpambano huo kuanza. Timu kaptaini wakiwa na waamuzi muda mchache kabla ya mechi kuanza. Benchi la Africa Lyon Benchi la Kagera Sugar Benchi la Africa Lyon na viongozi {kulia} Mtanange ukiendelea.. Mchezaji wa Africa Lyon akiokoa mpira uliopigwa kona kwa kichwa Mashabiki Wachezaji wa Kagera Sugar wakishangilia baada ya kupata bao Ushindi mtamu... Kipa wa Africa Lyon akidaka mpira
Wacheza wa Africa Lyon wakitoka uwanjani
No comments:
Post a Comment