BUKOBA SPORTS

Saturday, February 23, 2013

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA 1 vs AZAM FC 0

VINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Yanga, leo wameifunga Azam FC Bao 1-0 huko Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kupaa kileleni wakiwa na Pointi 39 kwa Mechi 17 na Azam kubaki nafasi ya pili wakiwa na Pointi 36 kwa Mechi 18.

Bao la Yanga lilifungwa na Haruna Niyonzima katika Dakika ya 31 kutokana na pasi safi ya Jerry Tegete.

Kesho Simba, ambao wakiwa nafasi ya 3 na wenye Pointi 31 kwa Mechi 17, wapo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Mtibwa Sugar.
Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza na beki wa Azam, Hamis Mcha

Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akiwa na mpira huku beki wa Azam, Hamis Mcha akimzuia wakati wa mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa Taifa

Haruna Niyonzima akishangilia bao kwa staili ya aina yake
VIKOSI:
YANGA: Ally Mustafa, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Athumani Iddi ‘Chuji’, Simon Msuva, Frank Domayo, Jerry Tegete, Hamisi Kiiza, Niyonzima

Azam FC: Mwadini Ally, Kipre Balou, Waziri Salum, Joackins Atudo, David Mwantika, Ibrahim Mwaipopo, Salum Abubakar, John Bocco, Kipre Tchetche, Humphrey Mieno, Khamis Mcha


VPL: RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 23
YANGA 1 AZAM FC 0
MGAMBO JKT vs JKT RUVU [MKWAKWANI, TANGA]
TANZANIA PRISONS vs POLISI MOROGORO {SOKOINE, MBEYA}
KAGERA SUGAR 1 vs  AFRICA RYON 1{KAITABA, KAGERA}
Jumapili Februari 24
SIMBA SC v MTIBWA SUGAR FC {UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM}
Jumatano Februari 27
COASTAL UNION vs RUVU SHOOTING - MKWAKWANI, TANGA
YANGA vs KAGERA SUGAR - UWANJA WA TAIFA,  DAR ES SALAAM
POLISI MOROGORO vs MGAMBO JKT - JAMHURI , MOROGORO
JKT RUVU vs TOTO AFRICANS - AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM
MTIBWA SUGAR vs TANZANIA PRISONS - MANUNGU, MOROGORO


MSIMAMO:
NA TIMU P W D L GD PTS
1 YANGA 17 12 3 2 22 39
2 AZAM FC 18 11 3 4 16 36
3 SIMBA 17 8 7 2 12 31
4 COASTAL 17 8 6 3 6 30
5 RUVU SHOOTING 15 7 3 5 3 24
6 KAGERA 16 6 6 4 2 24
7 MTIBWA 16 6 5 5 2 23
8 JKT OLJORO 17 5 6 6 -1 21
9 PRISONS 17 4 6 7 -5 18
10 MGAMBO 16 5 3 8 -6 18
11 JKT RUVU 16 4 4 8 -12 16
12 TOTO 17 2 7 8 -11 13
13 LYON 17 3 3 11 -18 12
14 POLISI 15 2 4 9 -10 10

No comments:

Post a Comment