BUKOBA SPORTS

Sunday, March 24, 2013

WORLD CUP 2014: TANZANIA 3 vs MOROCCO 1, THOMAS ULIMWENGU NA MBWANA SAMATA WAICHINJA CHINJA MORROCO!!!!

Taifa Stars: Thomas Ulimwengu 46' - Mbwana Samata 67' - Mbwana Samata 80'
Morocco:Youssef El Arabi 90'
Kikosi cha Taifa Stars
Kikosi cha Morocco
Taifa stars wakicheza leo kwenye uwanja wa Taifa tiketi ya kuwania kombe la Dunia 2014 huko Brazil, Taifa Stars ikiongozwa na Kim wameweza kuifunga timu ya Morocco bao 3-1.
Taifa Stars imemenyana kiume na katika kipindi cha kwanza hakuna timu iliyoweza kumfunga mwenzake. Kipindi cha pili kilipoanza tu dakika moja kupita dakika ya 46 Thomas Ulimwengu akaipachikia Taifa Stars bao la kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya Morocco. Kazi nzuri ya ushirikiano wa mchezaji Athuman Iddy ikaipatia Taifa Stars bao la 2 kupitia kwa chezaji Mbwana Samata Dakika ya 67.
Dakika ya 80 Mbwana samata akaipachikia bao jingine Taifa Stars na kufanya 3-0 dhidi ya Timu ya Morocco.

Dakika za lala salama dakika ya 90 mchezaji wa Morocco Youssef El Arabi akawaondolea aibu Morocco akawapatia bao na kufanya matokeo kuwa 3-1.

VIKOSI:
TAIFA STARS

1. Juma Kaseja, 4 Erasto Nyoni, 5 Kelvin Yondani, 6 Aggrey Morris, 20 Shomari Kapombe, 2 Salum Aboubakar, 11 Amri Kiemba ,15 Mike Kazimoto , 16 Frank Domayo,7 Mrisho Ngasa, 10 Mbwana Samata

MOROCCO
1. Nadir Lamyaghri, 2. Abderrahim Chakir, 3. Zakara Bergdich,14 Younnes Hammali ,16 Younes Bellakhdar, 7 Abdelaziz Barrada, 17 Issam Adoua , 19 Kamel Chafni,11 Chahir Belghazouani, 18 Hamza Abourazzouk, 23 Abdelilah Elhafidi
Referee: Helder Martins De Carvalho 


MSIMAMO:
KUNDI C

1 Côte d'Ivoire Mechi 3 Pointi 7
2 Tanzania Mechi 3 Pointi 6
3 Morocco Mechi 3 Pointi 2
4 Gambia Mechi 3 Pointi 1

RATIBA/MATOKEO:

02/06/12: Ivory Coast 2-0 Tanzania; Gambia 1-1 Morocco
08-12/06/12: Morocco 2-2 Ivory Coast; Tanzania 2 Gambia 1
22-26/03/13: Ivory Coast 3 Gambia 0; Tanzania 3 Morocco 1
07-11/06/13: The Gambia v Ivory Coast; Morocco v Tanzania
14-18/06/13: Tanzania v Ivory Coast; Morocco v The Gambia
06-10/09/13: Ivory Coast v Morocco; Gambia v Tanzania

 
-Mechi inayofuata kwa Taifa Stars ni ya ugenini na ni ya Marudiano na Morocco Mwezi Juni.


RATIBA/MATOKEO:

Jumamosi Machi 23

Congo 1 Gabon 0

Cameroon 2 Togo 1

Nigeria 1 Kenya 1

Côte d'Ivoire 3 Gambia 0

Namibia 0 Malawi 1

Senegal 1 Angola 1

Burkina Faso 4 Niger 0

Tunisia 2 Sierra Leone 1

South Africa 2 Central African Republic 0


Jumapili Machi 24

Tanzania 3 Morocco 1

Lesotho-Zambia

Mozambique-Guinea

Rwanda-Mali

Congo DR-Libya

Ethiopia-Botswana

Ghana-Sudan

Liberia-Uganda

Equatorial Guinea-Cape Verde Islands


Jumanne Machi 26

Egypt-Zimbabwe

Algeria-Benin

No comments:

Post a Comment