KLABU YA AL AHLI YAMTEUA VICTOR PEREIRA KUWA KOCHA WAKE MPYA
KLABU ya Al Ahli ya Saudi Arabia imethibitisha kumteua Vitor Pereira kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baada kocha huyo
kuondoka Porto mwishoni mwa msimu huu. Pereira ameifundisha Porto kwa
kipindi cha misimu miwili baada ya kuchukua nafasi ya Andre Villas-Boas
Juni mwaka 2011 na kuisadia klabu hiyo kushinda mataji mawili ya Ligi
Kuu nchini Ureno. Katika taarifa iliyotolewa katika mtandao wa klabu
hiyo, Pereira mwenye umri wa miaka 44 atajiunga rasmi na klabu hiyo Juni
27 kabla ya kuiandaa timu kwa ajili ya msimu ujao siku mbili baadae.
Pia zimekuwepo taarifa kuwa atatua katika klabu hiyo na wasaidizi wake
wa watatu kutoka Ureno kwa ajili ya kuimarisha benchi lake la ufundi.Pereira kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baada kocha huyo kuondoka Porto mwishoni mwa msimu huu. Pereira ameifundisha Porto kwa kipindi cha misimu miwili baada ya kuchukua nafasi ya Andre Villas-Boas Juni mwaka 2011 na kuisadia klabu hiyo kushinda mataji mawili ya Ligi Kuu nchini Ureno. Katika taarifa iliyotolewa katika mtandao wa klabu hiyo, Pereira mwenye umri wa miaka 44 atajiunga rasmi na klabu hiyo Juni 27 kabla ya kuiandaa timu kwa ajili ya msimu ujao siku mbili baadae. Pia zimekuwepo taarifa kuwa atatua katika klabu hiyo na wasaidizi wake wa watatu kutoka Ureno kwa ajili ya kuimarisha benchi lake la ufundi.Vítor Pereira
No comments:
Post a Comment