

Bendi hiyo imefanikiwa kutwaa tuzo hizo mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo utoaji wa tuzo hizo ulifanyika Mliman City Dar es Salaam. Akizungumza jana Dar es Salaam, Meneja wa bendi hiyo Martin Sospeter, alisema kuwa ni jambo la kumshukuru Mungu na kila mdau wa muziki kwa kuweza kutupigia kura na kupata tuzo hizo.Alisema kuwa kwa namna moja au nyingine bila ya kupata ushirikiano wao wa...
No comments:
Post a Comment