MWENGE WA UHURU KUKESHA KATIKA UWANJA WA KAITABA MANISPAA YA BUKOBA 2-07-2013 JUMANNE
Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo mapema ukitokea Wilaya ya Muleba na kuingia Manispaa ya Bukoba, baada ya kupokelewa ulizungushwa maeneo mbalimbali katika Manispaa ya Bukoba kwa ajili ya kuzindua Miradi mbalimbali ya maendeleo, Zoezi la ufunguaji wa miradi lilipokamimilika mwenge huu uliletwa katika uwanja wa kaitaba ambapo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Juma Ally Sumai alitoa ujumbe wa mwenge,mbali na mambo mengi yaliyoelezwa asisitiza swala la umoja kwa Watanzania wote, Aligusia swala la Udini na kudumisha Amani na Upendo katika Taifa la Tanzania. Wananchi wakiwa kaitaba salamu Salamu mkimbiza mwenge kitaifa Kulia makamu meya manispaa Alexsanda ngalinda na yusufu ngaiza mwenyekiti ccm bukoba manispaa Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa juma ally sumai akitoa maelezo kuhusu ujumbe wa mwenge 2013 Umati mkubwa jukwaa kuu Ticha!!! wakuu wa idara manispaa ya bukoba watendaji mbalimbali manispaa ya bukoba Ulinzi mkali wananchi wakisikiliza ujumbe wa mwenge Mkuu wa wilaya bukoba zippola pangani akitete na mkurugenzi wa manispaa,kesho mwenge unaingia bukoba vijijini
No comments:
Post a Comment