Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria Stephen Keshi
Kwa mara ya kwanza, Keshi amewajumuisha Nosa Igiebor anayesakata soka la kulipwa nchini Uhispania na Mshambulizi Emmanuel Emenike anayechezea klabu ya Fenerbahce ambaye atacheza kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa kombe la dunia mapema mwaka huu nchini Afrika Kusini. Nigeria watahitaji sare ili kufuzu katika hatua ya mwondoano lakini Malawi wanahitaji ushindi ili kusonga mbele.Keshi.
No comments:
Post a Comment