
Mpoto akiwa amembeba mmoja wa wanafunzi wa Chuo hicho mara baada ya kumuomba apige naye picha ya kumbukumbu.

Mtangazaji wa Clouds FM kupitia kipindi cha Power Break fast Gerald Hando naye alipata wasaa wa kuzungumza na wanafunzi hao kuhusiana na mpango mzima wa tamasha la Serengeti Fiesta 2013 linalotarajiwa kufanyika kesho jioni kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi,aidha pia alibadilishana nao mawazo na namna ya kutumia fursa mbalimbali wazipatazo katika masoma yao.

No comments:
Post a Comment