BUKOBA SPORTS

Wednesday, August 21, 2013

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED KWENYE MTOKO NA WAKE ZAO KULA CHAKULA CHA USIKU NA KOCHA WAO DAVID MOYES


Mtoko na mama watoto: Rooney akiwasili na mkewe Coleen (kushoto), wakati Moyes akionekana poa baada ya ushindi wa pili kazini
Katikati ya mji: Johnny Evans akiwasili na mkewe Helen McConnell (kushoto), wakati Nemanja Vidic akitembea na mkewe, Ana Ivanovic huko Deansgate, Manchester
Nafasi ya picha;Rio Ferdinand akipiga picha na shabiki huko Deansgate, Manchester
Beki Chris Smalling (kushoto) akiwasili na mpenzi wake, na kiungo Tom Cleverley (kulia) na hawara yake, Georgina Dorsett 
Kila mtu na wake: Robin na Bouchra van Persie (kushoto) akiwasili na kulia ni Ryan na Stacey Giggs
Masela: Danny Welbeck, Wilfried Zaha, David De Gea na Antonio Valencia wakitembea
Miamba: Alexander Buttner, Rio Ferdiand na Shinji Kagawa wakiwasili kwa chakula cha timu mjini Manchester
Kwa raha zao: Ashley Young (kushoto) na Phil Jones (kulia)

No comments:

Post a Comment