Jussi Jaaskelainen, Miaka 38 na Raia wa Finland, aliokoa Bao za wazi za Dani Osvaldo, Morgan Schneiderlin na Rickie Lambert zilizofanya Uwanja mzima usiamini nini kimetokea.
Jaaskelainen pia alipangua shuti la Mkenya Victor Wanyama na kulitoa nje.
Licha ya kuzidiwa na kushambuliwa katika Mechi yote, West Ham nusura washinde Mechi hii mwishoni pale James Collins alipopoteza nafasi safi.
Kocha hoi...!! Sam Allardyce kocha akiwa hana lolote baada ya kuona mambo magumu huku timu yake ikikosa umakini na wachezaji kuishia kuachia mishuti ambayo ilizuiliwa na wachezaji na baadhi kipa akizipangulia nje......!!!
Pablo Osvaldo akiuzunika baada ya kukosa ktupia kwenye nyavu!!
Kipa Jussi Jaaskelainen akiokoa shuti la Osvaldo
Mchezaji wa Southampton Morgan Schneiderlin na wa West Ham Mohamed Diame kwenye patashika kugombea mpira hapa!
Nafasi ya wazi James Collins akikosa baada ya kupewa pasi safi na kubutulia mpira juu ya goli
VIKOSI:
Southampton: Boruc, Clyne, Lovren, Fonte, Shaw, Wanyama, Schneiderlin, Rodriguez, Lallana, Osvaldo, Lambert. Subs: Kelvin Davis, Steven Davis, Ramirez, Ward-Prowse, Do Prado, Chambers, Hooiveld.
West Ham: Jaaskelainen, Demel, Reid, Collins, O'Brien, Diame, Noble, Morrison, Nolan, Jarvis, Maiga.
Subs: Tomkins, Rat, Collison, Vaz Te, Adrian, Taylor, Lee.
Referee: Andre Marriner

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Jumatatu 16 Septemba
22:00 Swansea City v Liverpool
RATIBA: LIGI KUU ENGLAND WIKI IJAYO!
Jumamosi 21 Septemba
14:45 Norwich City v Aston Villa
17:00 Liverpool v Southampton
17:00 Newcastle United v Hull City
17:00 West Bromwich Albion v Sunderland
17:00 West Ham United v Everton
19:30 Chelsea v Fulham
Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal v Stoke City
15:30 Crystal Palace v Swansea City
18:00 Cardiff City v Tottenham Hotspur
18:00 Manchester City v Manchester United
No comments:
Post a Comment