Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwansiti Almasi,akifafanua namna anavyonufaika na huduma za NSSF,mara tu walipojiunga kupitia kundi lao la Lekadutigite,ndani ya semina ya fursa twendzetu iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Katema Hall,Midland hotel mkoani Morogoro mapema leo asubuhi.
Mbunifu wa mavazi kutoka mkoani Morogoro,ambaye pia ni mjasiliamali aliyejitambulisha kwa jina la Diana Magessa akionesha mbele ya washiriki wa semina ya Fursa kwa Vijana (hawapo pichani) baadhi nguo zake alizozidizaini kwa ubunifu wake.
Meneja huduma wa Wajasiliamali-Zantel akizungumza mbele ya wakazi wa Morogoro waliojitokeza leo asubuhiMrisho Mpoto akizungumza mbele ya wakazi wa Morogoro waliojitokeza leo asubuhi
kwa hisani ya Issa Michuzi blog.

No comments:
Post a Comment