BUKOBA SPORTS

Monday, September 9, 2013

KIGGI MAKASSI ANAONDOKA KWENDA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU YA GOTI


Kiungo wa timu ya Simba, Kiggi Makassi anasafiri leo kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu ya goti.
Kiggi ambaye alipata majeruhi katika ligi msimu uliopita, anaondoka leo na ndege ya saa 10:45 jioni kwenda kufanyiwa upasuaji wa goti lake.

No comments:

Post a Comment