BUKOBA SPORTS

Thursday, September 12, 2013

MAANDAMANO YA KUPINGA UJANGILI WA TEMBO NCHINI YAFANYIKA JIJINI DAR



Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb) (watano kutoka kushoto msitari wa mbele) akiwa anandamana pamoja na waandamanaji wanaopinga ujangili wa tembo ‘Tembea kwa ajili ya Tembo’ mara baada ya kuwapokea leo, Ubungo jijini Dar es Salaam asubuhi. Maandamano hayo yamechukua muda wa siku 19 na waandamanaji wametembea kilomita 650, kutoka Jijini Arusha
Matembezi hayo ya kupinga ujangili yameandaliwa Bw. Patric Patel, Mkurugenzi, African Wildlife Trust (wanne kutoka kulia msitari wa mbele)yakiwa na lengo la kuelimisha wananchi na Ulimwengu mzima kwa ujumla juu

No comments:

Post a Comment