Shindano hilo no moja kati ya mataji matano ambayo yanashindaniwa na warembo hao ambapo washindi wake wanapata tiketi ya kuingia Nusufainali ya shindano hilo litakalo fanyika baadae mwezi ujao.
Miongoni mwa mataji hayo ni Miss Tanzania Photogenic, Miss Tanzania Top Model, Miss Tanzania Personality, Miss Tanzania Sports Lady na Miss Tanzania Talent.
Akizungumza na Father Kidevu Blog hii leo, Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga 'Uncle' amesema jopo la majaji watatu ambao ni wapiga picha na wanahabari wazoefu wa masuala ya urembo Tanzania watakaa na kuchagua mshindi huyo kupitia picha mbalimbali za warembo hao.
Mshindi anataraji kutangazwa leo jioni katika hoteli ya Giraffe Ocean View na kujipatia tiketi hiyo.
Taji la Redd's Miss Tanania Photogenic linashikiliwa na Mrembo Lucy Stephano aliyelitwaa mwaka 2012. Wafuatao ndio warembo watakao wania taji hilo hii leo.
ESHYA RASHID
JANETH AWET
HAPPINESS WATIMANYWA
CLARA BAYO
DORICE MOLLEL
LATIFA MOHAMED
SALSHA ISDORY
PRISCA PAUL
LUCY TOMEKA
SEVERINA LWINGA
SABRINA JUMA
MIRIAM MANYANGA
LINA ALLAN
LUCY JAMES
GLORY STEPHEN
NEEMA SHAYO
ALICE ISAACK
SARAH PAUL
PHILLIOS LEMI
NANCY MOSHI
JACLINE LUVANDA
DIANA LAIZER
LUCY CHARLES
SVETLANA NYAMEYO
NARIETHA BONIFACE
MARY CHEMPONDA
NICE JACK HERMAN
ANASTAZIA DONALD
NEEMA MALITI
ELIZABETH PERTY
No comments:
Post a Comment