
MANCHESTER CITY vs MANCHESTER UNITED
Mwamuzi ambae alichezesha Fainali ya Kombe la Dunia ya Mwaka 2010 kati ya Spain na Holland, Howard Webb, ndie
ameteuliwa kuchezesha Mechi ya Ligi Kuu England ambayo ni Dabi ya
Manchester kati ya Man City na Man United itakayochezwa Uwanja wa Etihad
leo Jumapili Septemba 22.
Mara ya mwisho kwa Howard Webb
kuichezesha Man United ilikuwa ni Mwezi Mei Uwanjani Old Trafford kwenye
Mechi na Chelsea ambapo Refa huyo alimpa Kadi Nyekundu Rafael.
RATIBA
Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal v Stoke City - Referee: Mike Dean
15:30 Crystal Palace v Swansea City - Referee: Kevin Friend
18:00 Cardiff City v Tottenham - Referee: Mark Clattenburg
18:00 Manchester City v Manchester United - Howard Webb
No comments:
Post a Comment