KICHWA cha Dakika ya 54 cha Paul Pogba jana kimewapa ushindi wa Bao 1-0 Mabingwa wa Italy Juventus walipowachapa Torino katika Mechi ya Serie A ambayo hujulikana kama Derby della Mole, yaani Dabi ya Turin, kwani Timu hizi ndio Magwiji wa Mji wa Turin huko Italy.
Ushindi huu umewafanya Juve wakamate Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 16 sawa na Vinara Napoli lakini wao wako nyuma kutokana na uhafifu wa Magoli yao.
Lakini, baadae leo Usiku, AS Roma wanaweza kutwaa tena uongozi ikiwa wataifunga Bologna.
Kwenye Derby della Mole, Torino hawana Rekodi nzuri kwani hawajashinda tangu Mwaka 1995, hawajafunga Bao katika Mechi 14 na wamefungwa katika Mechi 7 kati ya 8 za mwisho za Dabi hii.

VIKOSI:
Torino: Padelli; Glik,
Rodriguez (S Masiello 46), Moretti; Darmian, Brighi, Vives (Farnerud
86), El Kaddouri (Meggiorini 68), D’Ambrosio; Cerci, Immobile
Juventus: Buffon;
Barzagli, Bonucci, Chiellini; Lichtsteiner, Vidal, Pogba, Marchisio,
Asamoah (Padoin 74); Tevez (Quagliarella 91), Giovinco (Vucinic 78)
Refa: Mazzoleni
SERIE A
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Septemba 28
Genoa 0 Napoli 2
AC Milan 1 Sampdoria 0
Jumapili Septemba 29
Torino FC 0 Juventus 1
Atalanta 2 Udinese 0
Catania 2 Chievo 0
Cagliari 1 Inter Milan 1
Hellas Verona 2 Livorno 1
Sassuolo 2 SS Lazio 2
21:45 AS Roma v Bologna
Jumatatu Septemba 30
21:45 Fiorentina v Parma
No comments:
Post a Comment