BUKOBA SPORTS

Wednesday, September 25, 2013

SILVER JUBILEE YA MIAKA 25 YA NDOA YA BW. MGENZI BYABACHWEZI NA BI. SAADA YAFANA BUKOBA.

Bw. Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakilishana keki baada ya upendo wao kudumu kwa miaka 25 sasa, kwenye sherehe ya Silver Jubilee ya miaka 25 ya ndoa yao iliyofana katika Viwanja vya Bukoba Club tarehe 31/08/2013 Bukoba mjini hivi Karibuni.
Bw. Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakikata keki kwa pamoja hapa. Ikiwa ni ishara ya upendo na mshikamano wa ndoa yao iliyodumu miaka 25 sasa na inazidi kukua vyema.
Patina wa Bw.Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada, Bw. Frank Muganyizi na Mkewe Bi. Monika nao wakilishana keki kwa upendo hapa.
Bw.Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakipokea Zawadi
Bw.Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakiendelea kupata zawadi mbalimbali kutoka kwa wadau.
Bw.Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakifurahia hapa!

Muda wa Chakula ulifika Bw. Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakipata huduma ya Msosi hapa.
Bw. Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakipata msosi

Bw.Mgenzi akilonga yake ya moyoni kwa kuwashukuru watu wote waliofika na wote waliowawezesha bila kumsahau Mwenyezi Mungu na hatimae kufanikisha sherehe ya miaka 25 ya ndoa yao.
Bi. Saada nae hakusita..akaongezea na yeye  yake ya moyoni kwa kuwashukuru watu wote waliofika na wote waliowawezesha kufanikisha sherehe ya miaka 25 ya ndoa yao.
Bw.Mgenzi Byabachwezi akiwapungia wadau mkono


Kinaigeria zaidi!!




Mapema walionekana Bw. Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada na patina wao wakiingia kwenye ukumbi


Kamata keki mkuu

Bw. Frank Muganyizi  kushoto akifurahia kwenye sherehe hiyo
Bw. Mgenzi akimwesha wake Bi. Saada kinywaji hapa!! Miaka 25 siyo lele mama mke wangu asante kwa yote ..pokea hii!!!
Picha ya pamoja na watoto hapa...

Hongereni sana wanangu!!!

Meza kuu Bw. Frank Muganyizi kulia, anefata Bw. Mgenzi, Bi. Saada na Bi. Monica Mke wa Mr. Frank Muganyizi wakiwa pamoja.

Bw. Mgezi akimpa mic mkewe atete na Uma wa watu waliojitokeza ukumbini hapo.
Upendo, Mshikamano na uvumilivu ndiyo issue kubwa kwetu sisi!!

Bw. Mgenzi Byabachwezi na Bi Saada wakipata neno kutoka kwa mzee.
www.bukobasports.com inawapongeza sana..ongereni sana ..kaza mwendo!!

No comments:

Post a Comment