Jose Mourinho leo ameanza kwa mkosi UCL baada ya kuchapwa Nyumbani Bao 2-1 na FC Basel ya Uswisi na hiki ni kipigo cha pili mfululizo kwake kufuatia kufungwa Wikiendi iliyopita kwenye Ligi na Everton.
Chelsea walitangulia kufunga kwa Bao la Oscar mwishoni mwa Kipindi cha Kwanza dakika ya 45 lakini FC Basel walikuja juu na kupiga Bao mbili katika Dakika za 71 na 82 Wafungaji wakiwa Mohamed Salah, Kijana wa Egypt, na Marco Streller.
Mohamed Salah, Kijana wa Egypt, na Marco Streller wakikumbatiana baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 71 na kuizima Chelsea
Jose Mourinho mikosi ikizidi kumwandama Stamford Bridge, na hapa alikuwa hoi!!
Shabiki wa Chelsea na bango lake likimtaja Juan Mata na kutoanzishwa kwenye kikosi cha kwanza
VIKOSI:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Luiz, Cole, Oscar, van Ginkel (Mikel 75), Lampard (Ba 76), Willian (Mata 67), Eto'o, Hazard.Subs Not Used: Schwarzer, De Bruyne, Terry, Azpilicueta.
Booked: van Ginkel .
Goals: Oscar 45.
Basle: Sommer, Voser, Schar, Ivanov, Safari, Salah (Xhaka 88), Diaz, Frei, Stocker (Ajeti 83), Sio (Delgado 65), Streller.
Subs Not Used: Vailati, Philipp Degen, David Degen, Sauro.
Booked: Diaz.
Goals: Salah 71,Streller 82.
Att: 38,000
Ref: Daniele Orsato (Italy).
[Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku]
Jumatano 18 Sep 2013
AC Milan 2- 0 Celtic Chelsea 1- 2 FC Basle
Marseille1- 2 Arsenal
Atletico Madrid 3 - 1 Zenit St Petersburg
Austria Vienna 0 - 1 Porto
Barcelona 4 - 0 Ajax
Napoli 2 - 1 Borussia Dortmund
Schalke 04, 3 - 0 Steaua Bucharest
WAFUNGAJI MITANANGE YOTE:
Gp E - Chelsea 1 (Oscar), FC Basel 2 (Salah, Streller)
Gp E - Schalke 3 (Uchida, Boateng, Draxler), Steaua Bucharest 0
Gp F - Marseille 1 (Ayew PK), Arsenal 2 (Walcott, Ramsey)
Gp F - Napoli 2 (Higuain, Insigne), Dortmund 1 (Zuniga OG) - Klopp, Weidenfeller sent off
Gp G - Atletico Madrid 3 (Miranda, Turan, Baptistao), Zenit St. Petersburg 1 (Hulk)
Gp G - Austria Vienna 0, FC Porto 1 (Lucho Gonzalez)
Gp H - Barcelona 4 (Messi 3, Pique), Ajax 0
Gp H - Milan 2 (Zapata, Muntari), Celtic 0
No comments:
Post a Comment