BUKOBA SPORTS

Saturday, September 21, 2013

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA 2 vs MBEYA CITY 2, SIMBA YASHIKIKA KINOMA! YALAZIMISHWA SARE!


Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mbeya City, Yohana Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. (Picha na Francis Dande)

Moja ya hekaheka katika lango la Mbeya City.

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe akishangilia moja ya magoli aliyoifungia timu yake ambapo katika mchezo huo alifunga mabao mawili.
Patashika




KIPINDI CHA PILI KIKIWA KINAENDELEA

MASHABIKI WAKIWA WANAFUATILIA MECHI KWA UKARIBU




MBEYA CITY WAKIWA WAMEPATA GOLI LA PILI

MBEYA CITY FC WAKISHANGILIA GOLI LAO LA PILI


MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANASHANGILIA GOLI LA PILI


KOCHA MKUU WA MBEYA CITY FC BWANA MWAMBUSI WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO AKIFUATILIA MECHI KWA UMAKINI.

MASHABIKI WA SIMBA WAKIWA WAMEPOA BAADA YA M BEYA CITY FC KURUDISHA GOLI

MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WENYE FURAHA


HAPA ILIKUWA NI PATA SHIKA NGUO KUCHANIKA BAADA YA SHABIKI WA SIMBA KUINGIA ENEO LA MASHABIKI WA YANGA.

MPIRA UMEKWISHA

WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WANATOKA NJE YA UWANJA BAADA YA MPIRA KWISHA

WACHEZAJI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANATOKA UWANJANI BAADA YA MPIRA KWISHA



MASHABIKI WALIO TOKA MBEYA KUSHANGILIA MBEYA CITY FC WAKIWA NJE YA UWANJA WAKIENDELEA KUSHANGILIA MPIRA.

No comments:

Post a Comment