
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa mafunzo juu ya uzazi wa mpango

Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi wa mpango na wakati salama wa umri wa kuanza kupata mtoto.

Meneja wa Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango

Sasha Isdore akiuliza swali

Picha ya pamoja Warembo na baadhi ya wafanyakazi wa Maria Stop.
No comments:
Post a Comment