Liverpool wameshika hatamu ya Ligi Kuu England baada kuifunga Bao 3-1 Crystal Palace katika Mechi iliyochezwa Anfield.
Bao zote za Liverpool zilifungwa Kipindi cha Kwanza na Luis Suarez, Daniel Sturride na Penati ya Steven Gerrard iliyotolewa baada ya Raheem Sterling kuangushwa ndani ya boksi. Bao la Crystal Palace lilifungwa katika Dakika ya 77 na Dwight Gayle.
Ian Holloway (kulia) wa Crystal Palace akijikatia tamaa baada ya kufungwa bao la tatu kipindi cha kwanza
Ushindi huo unaiweka Liverpool kileleni mwa Ligi kuu ya England kwa pointi 16, moja mbele ya Arsenal na City katika nafasi ya tatu.
VIKOSI:
LIVERPOOL (3-4-1-2): Mignolet 7: Toure 7, Skrtel 7, Sakho 7 (Agger 66mins): Stering 6, Gerrard 7, Henderson 6, Enrique 7: Moses 6 (Alberto 66mins): Suarez 8, Sturridge 8 (Aspas 88mins).
Subs not used: Jones, Ilori, Wisdom, Ibe
Booked: Sterling, Iago Aspas
Goals: Suarez 13, Sturrdige 17, Gerrard 38 (PEN)
Subs not used: Price, Guedioura, Inniss, Phillips
Booked: O'Keefe
Goals: Gayle 76
Man-of-the-Match: Luis Suarez
Referee: A Taylor 7
Attendance: 44,721
No comments:
Post a Comment