
Ommy Dimpoza akipagawisha wakazi wa Carlifornia katika show yake iliyofanyika Jumamosi Oktoba 5.

Ommy Dimpoz na Merce Mfanga Ligate.

Msanii
Mwanamuziki wa kizazi kipya Lady C kutoka Uganda akienda pozi kwa pozi
na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz wakati alipofanya show Los
Angeles, California usiku wa kuamkia Jumapili.

Shabiki amepagawa.

Poz kwa Poz ilikuwa balaa.

Mama Ligate akikusanya mafwedha!

kushoto ni Mwanamuziki wa Nigeria 2Face aliyetamba na wimbo wake wa My african Queen pamoja na mwananmuziki toka Uganda Zana Lady C na Bw. Deo kulia.
No comments:
Post a Comment